FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Hivi na ndugu zetu wapo Mbeya bado au tayari waliondoka na hakuna kulala ya jana?
Wapo waliobaki kuchangisha harambee ya milioni 25 za kuwapa Prison
 
Saidoo hana goli ligi kuu, alitaka kuondoa gundu

Kibu nguvu nyingi akili kidogo

Kennedy ni bonge la beki
 
Ligi ya 5 Afrika ni ngumu kuamini kama JW kuwa wa 6 Kwa ubora duniani.
 
Naangalia hapa mpira wa Chama langu Simba na prison, ninayo yaona nafsi imekataa kabisa kuamini kwamba hii ni ligi ya tano kwa ubora kama tunavyoaminishwa, sasa napiga picha hiyo ligi ya mwisho kwa ubora sijui wanachezaje.
Hizo ligi zingine umeangalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…