Inaonekana ni mchezaji mzuri lakini labda kwenye mazoezi bado hajamu impress kocha.Huyu Phiri Alimkosea nini Robertinho? Bonge la mchezaji lakini anasugua benchi.
Huonekana asubuhi
Hapa kuna zaidi ya mazoezi,Inaonekana ni mchezaji mzuri lakini labda kwenye mazoezi bado hajamu impress kocha.
Mfano Kibu D ana jitihada kubwa sana kwenye mazoezi.
Aaaaameeeeenwote tuseme amen, inshallah. Ushindi kwa mnyama leo [emoji881]
Inasemekana ni majeruhi aliumia game ya kirafikiWhat's wrong with my nigga Miquisson?
Umepanik brazaSIMBA WOTE NAWATMB
Tiyar braza tipo uwanjanBado masaa manne