Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Wameona siye kufungwa Jana tunafaidi,ahaaaaaaaa😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameona siye kufungwa Jana tunafaidi,ahaaaaaaaa😂😂😂
Refa maliza mpiraNdo tuwasili hapa Kwa shangwe na sifa moyoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣 Acha manenoBora ulipopata fursa ya kucheka umeitumia.
Maana hii ni temporary joy, hua haidumu.
Vyote kwa pamojaMnashinda [emoji28][emoji1787] au ndo mnatafuta sababu ya kumtumua Robert
🤣Wameona siye kufungwa Jana tunafaidi,ahaaaaaaaa
Ni mwanasimba au mwanayanga!?Mbona leo Admin anabadirisha ubao fasta hivi.
Hakikiisheni mzigo uwe ni wakusheheniHapa wote lazima turudi na maparachichi
Naitwa shija mabula kutoka kahama Tanzania,Kulia kupokezanaaaaaaaaaaa, na bado.
GENTAMYCINE jiandaeni kabisa.
Kama Skudu!?Ila Saido hamna kitu
AahaaaaaNaitwa shija mabula kutoka kahama Tanzania,
Naitakia ushindi Tanzania prizonsi wa bao moja bila[emoji1787][emoji1787]
😅😅Wameona siye kufungwa Jana tunafaidi,ahaaaaaaaa
Sasa skudu naye ni mchezajiKama Skudu!?
Nimesema hata kabla mechi haijaanza, huyo na mwenzie Bocco ni mzigo mzito sana huko mbele.Ila Saido hamna kitu
Skudu amezidi.Kama Skudu!?