Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Aahaaaaaa,mammaeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaaaa,mammaeeeee
Hatuwezi kuwaruhusu mpatie furaha kupitia mechi hii🤣🤣🤣 Acha maneno
Saido anapoteza mipira mingiNimesema hata kabla mechi haijaanza, huyo na mwenzie Bocco ni mzigo mzito sana huko mbele.
Kama jana mimi nimeamka muda sio mrefuSimba mbona itanifanya nianze kunywa pombe mapema hii
Waongeze kukaza naona wapi,viunoni!?Simba wapunguze kukaa na mpira muda mrefu mguuni
T EFU EFU wanamuamini sana na ndio maana walimpa kaziHamna kitu hapo
Kuimba kupokezanaKulia kupokezanaaaaaaaaaaa, na bado.
Kumbe Prison nao wana Aziz Ki wao?
GENTAMYCINE jiandaeni kabisa.
Siyo Diarra 2.0?Hivi huyu kipa si ndio yule Salimu ee. 😅😅
Wengine tunakaa mbali. 😅Refa maliza mpira
SawaaT EFU EFU wanamuamini sana na ndio maana walimpa kazi
Hilo ndio tatizo lake kubwa, kupoteza mipira kisha anasubiri akabiwe na wengine. Kila akipata mpira hawezi kuangali ni wapi aupeleke, ni lazima asubiri mtu ili ampige chenga na kwakua umri ni maji ya jioni basi mara zote huupoteza tu mpira.Saido anapoteza mipira mingi
Azam maxkuna mwenye link? nipo mbali na tv.
Ubao vile vile.Tupeni update jamani