uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Kumekucha tena,
Kivumbi leo. Uwanja wa Sokoine Mbeya.
Simba ya Dar es Salaam itaumana na Tanzania Prison ya Mbeya.
Muda ni Saa 10 Jioni kwa Saa za Afrika Mashariki.
Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Tanzania Prisons, Oktoba 5, 2023
Updates.Mchezo umenza
12' Tanzania Prisons Wanaongoza goli 1-0, mfungaji ni Edwin Balua
31' Clatous Chama anasawazisha akimalizia pasi ya Shomari Kapombe
45' John Bocco anafunga goli la pili
Kipindi cha kwanza kimekamilika
Kipindi cha pili kimeanza
Phiri anaingia kuchukua nafasi ya John Bocco
84' Simba wanapata penati, baada ya Phiri kuchezewa faulo na kipa
85' Saido anafunga kwa njia ya mkwaju wa penati

Updates.