FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Hilo ndio tatizo lake kubwa, kupoteza mipira kisha anasubiri akabiwe na wengine. Kila akipata mpira hawezi kuangali ni wapi aupeleke, ni lazima asubiri mtu ili ampige chenga na kwakua umri ni maji ya jioni basi mara zote huupoteza tu mpira.
Umeona alichofanya
 
Hii mipira mirefu simba hawawezi,huyu kocha mbona anashindwa kuelewa,mipira inapotea nyingi
 
Back
Top Bottom