FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

Freekick hii mbona ya kiuonezi kabisa
 
Prison wanaweza wakatupiga kwa mipira iliyokufa
 
Mtani leo atuchekani🤣🤣🤣🤣
Aahaaaaaaa,

Ona hapa
Screenshot_20231005-162703~2.png
 
Sijui kwanini Simba tunaruhusu mashambulizi hivi.

Naona kama Chama leo yuko chini kidogo, au naonaje?
 
Balua Baluaa. Gooooooooal, bao la lipi kwa piriton. Simba leo watakimbia mpira kwapani na, half time bado sana
 
Hii defence ya Prisons ni kama ya Atletico Madrid.
 
Back
Top Bottom