FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Tp wasifumue sana huu mshono
 
Hakuna cha kuwaombea kwa Mungu! Yaani Mungu aache majukumu ya msingi aje kuhangaika na Yanga? Viongozi waliyakanyaga Wenyewe kwa kumfukuza Gamondi katikati ya shughuli! Wapigwe tu mpaka wajinyee!
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…