Manara, manara wa nini sasa huyoNilikuwa nasema sana humu kuwa manara nimtu muhimu sana ana uzoefu wa kutosha,wengine walibaki kukebeho kuwa anacheza namba ngapi?maneno hayo yamewapa viongozi kiburi nabado wasipoacha kiburi hata nafasi ya pili kwenye ligi hatutaipata kwa maana bingwa atakuwa Simba.
Unatumia channel gani Master?Ndio mkuu
Ya kwanzaKwa hiyo Uto kwenye kundi lenu mko nafasi ya ngapi
Wamechana mkekaWasenge hawa
Mechi ya Al Hilal na MC Algers una matokeo yake? Hapo kwa Mkapa ni Mazembe tu unaweza kuwafunga kwa vile hawana pa kwendaSafar Inaanzia appo hao wengine watakula nyingi sana Kwamkapa
Sasa Point 1 ndo una furahi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatumia channel gani Master?
anyway Moyo wangu unafuraha sana.
Mpira unatesa sana jamani.
Yanga Yanga Yanga.
Nakuita mara 3
NiliSema Hili 👆👆👆👆👆Mbona naona kama Yanga wakikaza Wanarudisha Hili goal..
Hamna Timu hapa
Sasa rudini kwenye mashindano yenu ya wanawakeWasenge hawa
Hii mechi sio ya Yanga kutoa sare kocha kaikosea sana kipindi cha kwanza katika upangaji wa kikosi ukizingatia na Tp Mazembe imeshajichokeaNyumbani tunawafunga hawa
Saa nne usikuMechi ya Al Hilal na MC Algers una matokeo yake? Hapo kwa Mkapa ni Mazembe tu unaweza kuwafunga kwa vile hawana pa kwenda
Kesho utafurahiAisee roho imeniuma sana hawa vitoga kusawazisha
Ndiyo UkweliIla tunatoka😣
ngoja tutakuonesha maajabuMechi ya Al Hilal na MC Algers una matokeo yake? Hapo kwa Mkapa ni Mazembe tu unaweza kuwafunga kwa vile hawana pa kwenda
Second leg dhidi ya YangaSaa nne usiku
Si ulikuwa unataka refa amalize labla nyumamwiko hawajauchomoa huo mwiko,ila kwa mbiiiiinde sana wamechomoa.Kwanini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]