Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Manara, manara wa nini sasa huyoNilikuwa nasema sana humu kuwa manara nimtu muhimu sana ana uzoefu wa kutosha,wengine walibaki kukebeho kuwa anacheza namba ngapi?maneno hayo yamewapa viongozi kiburi nabado wasipoacha kiburi hata nafasi ya pili kwenye ligi hatutaipata kwa maana bingwa atakuwa Simba.