Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #181
Azam maxApp gan naweza kuicheki hii game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam maxApp gan naweza kuicheki hii game
Sasa kwenye ile kona ambayo Utto wameingilia uwanjani ndiko kutawapa matokeo?Yanga Leo akipigwa anarudi ligi NBC rasmi.Ndoto za robo kwisha.
Mlokole harogagi mkuu 🤣Kipa wa tp mazembe anafanya ushirikina hadharani na tutawafunga tu
Si ndo yale yale ya nyie kupita milango ya nyuma mtaniKipa wa tp mazembe anafanya ushirikina hadharani na tutawafunga tu
Chura weka zegembe vizuri mwiko ukae.Mbumbumbu tulia dawa ikuingie
Ama kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu hata iweje, tulia basiChura weka zegembe vizuri mwiko ukae.
Mbumbumbu subiri mapaka keshoVipi leo Utopolo wamepitia geti la nyuma?
Hapo unatetemeka tu.Angalia mpira chura we!Ama kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu hata iweje, tulia basi
😃😀😀Si ndo yale yale ya nyie kupita milango ya nyuma mtani
Ikichezewaga Congo ndo inavyokuwaga otherwise wapo vizuri.Hivi kumbe ndio huwa Azam TV wanaonyesha match zao hivi? Mbona kama bado hawajui kurusha mechi!?
Utopolo 🐸 🐸 🐸 komaeni...🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe
View attachment 3176535
Mpira umeanza
Dakika ya 2
Yanga Sc wanafanya mashambulizi
Kwani huko ulipo kuna tetemekoHapo unatetemeka tu.Angalia mpira chura we!
Ndio...Sasa kwenye ile kona ambayo Utto wameingilia uwanjani ndiko kutawapa matokeo?