FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Hawa Mazembe wana uzembe fulani hivi

Hizi nafasi angezipata Al Hilal alikuwa anafunga zote
 
Hawa Mazembe nao ni wachovu tu bado. hii mechi Yanga anaweza akapata sare au ushindi kabisa
 
Hivi Aucho ambaye mechi zilizopita walikuwa wakimtaja kama ni moja ya sababu iliyowafanya wapoteze michezo.


Mnaweza kuniambia mpaka dakika hii amfefanya kitu gani cha maana??
 
Screenshot_20241214_172138_WhatsApp.jpg
 
Mzee magoma alisema Yanga ina slow pancha hamkusikiliza... Rudini kwa mzee magoma myamalize awaoneshe slow pancha ilipo
 
Mazembe wasianze kupaki bus mapema hivi, wacheze soka la mashambulizi km kawa.
 
Back
Top Bottom