No Diarra Uto is NothingPrison wanapata goli la kwanza
Tusikimbiane hapaDuh aiseee
[emoji2957][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kosa n la Metacha kuzubaa sio MwamnyetoKulikuwa hakuna shambulizi lolote la kuwafanya mwamnyeto na Metacha kuchanganyana, ila ndio hivyo wachezaji wabovu huwa ni wabovu tu
Kwann?Ukiwa unasikiliza mpira kwenye radio, mtangazaji anakuwa kama mungu yaani.
Bora Msheri kuliko Teja MetachaMsheri ni shati tu sio kipa mwenye uzoefu
kwa hiyo yeye na mnata unamchagua nani?Msheri ni shati tu sio kipa mwenye uzoefu
kasi ishapunguzwaTunawwsaka kwa kasi sana hapa
anakula ngiba yule jamaaHapo kosa n la Metacha kuzubaa sio Mwamnyeto
Kosa linakuwaje la metacha wakati mshambuliaji alibaki peke yake na kipa. Mwamnyeto alipitwa na alikuwa na mpira yeye, tatizo hana ball control nzuri, maamuzi ya hovyo na spidi sifuri.Kosa ni la Metacha, Mwamnyeto aligadi mpira ili kipa auwahi
Uto hawataamini. keki ya besdei inaingia mchangakasi ishapunguzwa