FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Mimi ni Yanga lia lia ila acha niseme ukweli team kwa sasa ni mbovu mno, kocha mbishi yeye na benchi lake la ufundi hawajui walitendalo kabisa 😁
 
Prison ni ndogo kwa Yanga, Hata Yanga wakiwa pungufu wanaweza kushinda bila tatizo, hapo ni maamuzi sahihi ya kochi kuingiza wachezaj watakaobadili muelekeo wa mechi kwa maana hii red card ni kama imewapa mchecheto wachezaji wa Yanga kiasi wanafanya makosa mengi
 
Back
Top Bottom