FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

binafsi nikimwangalia Max namwona ana tatizo kubwa sana, toka amalize ile mechi ya simba kawa tofauti sana.

angetafuta watu wamsaidie, hakuna jambo lisilowezekana chini ya jua.
 
Mkuu naww unaamini hayo mambo kwenye mpira?
 
Mtani bado mpaka useme.
Mie sio mtani wako bali ni mdau nwenzako, hivi huo kuwa timu yetu imeharibiwa sana na Miguel?

Ilifika wakati akawapa likizo wachezaji wetu utafikiri ni wajawazito yaani aliharibu kabisa, 5G hazionekani tena.
 
Back
Top Bottom