Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Mlaumu huyo teja aliyejirusha ili apewe penatiRefa kasawazisha, mbona tunamjua vizuri huyo refa ana kadi kabisa ya utopolo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlaumu huyo teja aliyejirusha ili apewe penatiRefa kasawazisha, mbona tunamjua vizuri huyo refa ana kadi kabisa ya utopolo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mbona tunajua Tatu Malogo ni mwanachama wa 5imba na hatusemi[emoji1787][emoji23]Refa kasawazisha, mbona tunamjua vizuri huyo refa ana kadi kabisa ya utopolo
Sent using Jamii Forums mobile app
Raha tutapata tukicheza na nyieYanga mbona hamna raha kama hamuongozi?
sehem zinzoongoza kwa uchawi ni 3.Mkuu naww unaamini hayo mambo kwenye mpira?
Kosa la mchezaji wa Prison ni kuushika mpira na kuukumbatia.Huyu mwamnyeto hamna kitu, refa kamuonea tu huyu mchezaji wa prison
Muha Sibu umefufukaYanga mbona hamna raha kama hamuongozi?
Na nyie subirini Three MALOGO atawabebaHii yanga inabebwa sana
Tapeli mkubwa, yanga yako ya wapi, huna kadi ya uanachama , huna jezi, huchangii lolote kwenye klabu zaidi ya makelele tu ,,pmbav
Anakosa magoli mengi ya wazi Sana karibia kila mechi tokea Ile na makolobinafsi nikimwangalia Max namwona ana tatizo kubwa sana, toka amalize ile mechi ya simba kawa tofauti sana.
angetafuta watu wamsaidie, hakuna jambo lisilowezekana chini ya jua.
Mkuu ushabiki usikufanye usione ukweli. Pale ile ilikuwa ni penati. Mwamnyeto ni trashWahi CCBRT [emoji2957] Macho yako ni mabovu mno
Mwanyeto anazingua.
Ningekuwa mimi ndiye kocha wa Yanga; aisee Mwanyeto angenisamehe kwa kweli.Huyu mwamnyeto hamna kitu, refa kamuonea tu huyu mchezaji wa prison
Huyo jamaa alidaka mpira wa nini?Refa kasawazisha, mbona tunamjua vizuri huyo refa ana kadi kabisa ya utopolo
Sent using Jamii Forums mobile app