FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Prison ni ndogo kwa Yanga, Hata Yanga wakiwa pungufu wanaweza kushinda bila tatizo, hapo ni maamuzi sahihi ya kochi kuingiza wachezaj watakaobadili muelekeo wa mechi kwa maana hii red card ni kama imewapa mchecheto wachezaji wa Yanga kiasi wanafanya makosa mengi
Naona wamepagawa
 
Uongozi wa Yanga msimu ujao mrejesheni Eric Johora kwenye kikosi. Maana anastahili kuwa mlinda mlango namba 1&2.

Bakary Mwamnyeto naye.....!! 😫
 
Prison ni ndogo kwa Yanga, Hata Yanga wakiwa pungufu wanaweza kushinda bila tatizo, hapo ni maamuzi sahihi ya kochi kuingiza wachezaj watakaobadili muelekeo wa mechi kwa maana hii red card ni kama imewapa mchecheto wachezaji wa Yanga kiasi wanafanya makosa mengi
Usikariri mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa prisons hawakustahiki kucheza NPL
 
Back
Top Bottom