FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Penalty denied to PRISON......
Haya wafurahie basi..maana refa line 1 aliona kabisa ILE FSLFAULU ktk box
 
binafsi nikimwangalia Max namwona ana tatizo kubwa sana, toka amalize ile mechi ya simba kawa tofauti sana.

angetafuta watu wamsaidie, hakuna jambo lisilowezekana chini ya jua.
Anakosa magoli mengi ya wazi Sana karibia kila mechi tokea Ile na makolo
 
Back
Top Bottom