FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Posta ya mechi yenyewe inajieleza, kazi kazi.

Prison ni wagumu ila muhimu ushindi, wakicheza vizuri kama DRC na sisi tukiondoka na ushindi kama SA ndilo jambo la msingi.
Ukht mbna unaogopa!!!!
 
Safii sanaa....leo kiwake tu...nguvu zao na akili zetuuu
 
Prison anapigwa ije mvua lije jua na Geita ana draw vizuri tu
 
Guede aanze ili kupata uzoefu.

Tahadhari kwa Refa.
Kama Prison watafunga goli halali wana kila haki ya kupewa goli lao.
Hapana Guede achezee benchi kama konkon tuendelee na Musonda na Mzize hii project ya Guede imeshindikana tumtafute Akandwanao yule wa Mlandege jamaa yuko vizuri
 
Guede naona anachezeshwa ili Gamondi akwepe lawama za kukalisha wachezaji benchi wanaosajiliwa kwa gharama na kulipwa mishahara mikubwa,

Apewe mechi tatu tu, kama hakuna kitu ni heri ya Kibabage afosi kupanda, nikikumbuka goli la kibabage kule Ghana lililokataliwa naumia sana.
Acha kabisa goli lile lingetuweka pazuri mno kwenye Caf mpira una ukatili sana
 
Back
Top Bottom