Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Kila lililo jema wananchi [emoji172][emoji169]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Lol.Kila la heri chama langu la askari magereza, mkituliza akili hawa watakuwa wafungwa wenu tu, wala wasiwatishe na nafasi waliyopo ligi ndio kwanza iko katikati
Sana yaani Mkuu. Na si ajabu wakakaza mbaya.Haya madogo huwa yanapenda sifa..
Uto sio ya kwanza kufungwaSana yaani Mkuu. Na si ajabu wakakaza mbaya.
Ndio mpango ulivyo!!Sana yaani Mkuu. Na si ajabu wakakaza mbaya.
Huwa unaona mbali sana mkuu.1 - 1 ft
the UtopolianThe mask fc
Ukht mbna unaogopa!!!!Posta ya mechi yenyewe inajieleza, kazi kazi.
Prison ni wagumu ila muhimu ushindi, wakicheza vizuri kama DRC na sisi tukiondoka na ushindi kama SA ndilo jambo la msingi.
Tuko nao bega kwa begaWanetu wa Prison.
Najua mmeangalia game mbili za Mwanzo walizocheza Uto.
Mmeona kabisa jinsi ilivyorahisi sana kuwakaba.
Mkishindwa kuwafunga basi iishe bila bila.
Uwezo mnao.
Hawatatuangusha.
Hapana Guede achezee benchi kama konkon tuendelee na Musonda na Mzize hii project ya Guede imeshindikana tumtafute Akandwanao yule wa Mlandege jamaa yuko vizuriGuede aanze ili kupata uzoefu.
Tahadhari kwa Refa.
Kama Prison watafunga goli halali wana kila haki ya kupewa goli lao.
Acha kabisa goli lile lingetuweka pazuri mno kwenye Caf mpira una ukatili sanaGuede naona anachezeshwa ili Gamondi akwepe lawama za kukalisha wachezaji benchi wanaosajiliwa kwa gharama na kulipwa mishahara mikubwa,
Apewe mechi tatu tu, kama hakuna kitu ni heri ya Kibabage afosi kupanda, nikikumbuka goli la kibabage kule Ghana lililokataliwa naumia sana.