FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Mimi hapa nikimuona Tu roho yangu inadunda... Simpendi kabisa Kwanza nilishangaa alirudishwaje na alitukana mashabiki tusi kubwa SITAKUJA kumsamehe kabisa
Mashabiki wa Bongo mnaanza wenyewe kutukana wakirudishia inakua nongwa. Ndio maana Morrison huwa anawanyoshea Mido finga.
 
Haya madogo huwa yanapenda sifa..
Siku hizi hayatishi kama enzi za Benjamin Asukile alipokuwa on fire! Mwamba nilikuwa namkubali sana! Alikuwa anajua kukaza siyo kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…