FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Mimi hapa nikimuona Tu roho yangu inadunda... Simpendi kabisa Kwanza nilishangaa alirudishwaje na alitukana mashabiki tusi kubwa SITAKUJA kumsamehe kabisa
Mashabiki wa Bongo mnaanza wenyewe kutukana wakirudishia inakua nongwa. Ndio maana Morrison huwa anawanyoshea Mido finga.
 
Salama kaka.
Timu yako bado inahangaika kujilinda
😂😁😁Kaka
20240211_205447.jpg
 
Back
Top Bottom