Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
EngineerNina alitoa wazo la kumsajili guede ?
Muulize InjiniaNina alitoa wazo la kumsajili guede ?
Mi nilijua amekufa pale nilipomuona lomalisa anamfunga mdomoDoh huyu jamaa kaumia... Namtakia apone haraka
Umefuraaaahi hapo.Engineer
Mwenyewe nimeogopaMi nilijua amekufa pale nilipomuona lomalisa anamfunga mdomo
Hawa Prison vipi mimi nataka watoe draw tu mbona mapema hivi?Tz prison 0-1 Young Africans
Bahati mbaya tu ile mzeeAngepewa red mchezo mbaya
jins walivyoanza ni ngumuHawa Prison vipi mimi nataka watoe draw tu mbona mapema hivi?
Haikua makusudi anapewaje red card?Angepewa red mchezo mbaya
Nimejibu kwa kifupi juu ya swaliUmefuraaaahi hapo.
Haya nikuulize wewe, Pacome, Mayele, Aziz Ki,Diarra na wengineo lilikuwa wazo la nani?
Mbona vilabu vingi vinafeli katika sajili zao? Tena wengine wanasajili wachezaji walioko kwenye form wanaenda kuflop.
Rejea Lukaku kwenda United…
Guede ni usajili makini sana. Ni suala la muda tuUmefuraaaahi hapo.
Haya nikuulize wewe, Pacome, Mayele, Aziz Ki,Diarra na wengineo lilikuwa wazo la nani?
Mbona vilabu vingi vinafeli katika sajili zao? Tena wengine wanasajili wachezaji walioko kwenye form wanaenda kuflop.
Rejea Lukaku kwenda United…
Wamelegea kama pua ya Michael Jackson Leo wasipokua Makini watapigwa kama NgomaHawa Prison vipi mimi nataka watoe draw tu mbona mapema hivi?