FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Metacha Kuna mtu uko juuuu alianza kumtilia mashaka mapemaaaaaa

Matokeo yake tumeyaona
 
Afadhali refa ametusaidia kufanya sub, ni afadhali tucheze pungufu ndani lakini Metacha asiwepo golini.
 
Mi nasemaje huyu Metacha atanifanya niache kuangalia game za Yanga, yaani kila akicheza lazima atanichefua.

KWA NINI HALIFUKUZWI?
 
Kichekesho ni kuwa refarii amebadili uamuzi kwa kufuata maelekezo ya wachezaji wa Yanga na sio kusaidiwa na mshika kibendera.
 
Back
Top Bottom