FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

Ukiangalia first half France walikuwa wanataka kutegemea run ups za kina Mbape, Doue,Olise wale Jamaa Senegal wameziba, Yule dogo kule kushoto ni beki Sana, ubaya France wakipigwa transition moja Tu pale Kati wanapitwa kama mlenda refer Diata akikaribia mstari wa Kati anapita kilaini sema anajikuta Yuko peke yake shambulizi linakufa maana Ismaila Sarr anakimbia hovyo kama mlevi.
 
Kwanini sasa? Ina maana vilabu vyao vya ndani wachezaji wengi ni black?? Au kwao kazi ya mpira ni ya black pekee??
Wafaransa walitawala baadhi ya nchi hapa afrika hasa afrika ya magharibi ikiwemo Senegal. Wafaransa walitoa nafasi nyingi za wafrika kwenda ufaransa kufanya kazi na kupata uraia wa huko. Ndio maana Ufaransa kuna waafrika wengi waliochukua uraia wa huko. Lakini pia Wafaransa hawana ubaguzi wa rangi kama mataifa mengine kama uholanzi, hivyo waafrika kuona mazingira kuhamia huko.
 
Kama hawana ubaguzi basi ndugu zetu hawa.
HApa yoyote ashinde maana nikiwaona wafaransa naona kama wawakilishi wa cameroon
 
Back
Top Bottom