FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

Sasa hivi watu wako serious sasa, Ile pasi aliyopiga Olise ndo unajua nini maana ya kazi kazi, pasi moja imekwenda na watu wanne wote, Senegal wameruhusu run up za wale Jamaa kule mbele, wafanye sub aingie Ilman Ndiaye mbele kuchangamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…