Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kaweka rekodi sio kuvunja rekodiMtu anaitwa Shithole? Wacha ale nyekundu.
Kavunja record kua Mchezaji wa Kwanza kula red WC 26
Kaweka rekodi sio kuvunja rekodiMtu anaitwa Shithole? Wacha ale nyekundu.
Kavunja record kua Mchezaji wa Kwanza kula red WC 26
Akafungue mgahawa kama shilole tuMtu anaitwa Shithole? Wacha ale nyekundu.
Kavunja record kua Mchezaji wa Kwanza kula red WC 26
Timu ina mchezaji anaitwa Shilole unategemea nini. Mtu anakaba utadhani anasugua sufuria Mbaga JrHawa South Africa hawana tofauti na Kichwa cha mwendawazimu. Inashangaza kuona timu mbovu kama hii imefuzu, halafu Nigeria na Cameroun wameshindwa kufuzu.
Atajua mwenyeweKaweka rekodi sio kuvunja rekodi
Wamekula red ya piliHii timu haikustahili kufuzu.
Na wamepigwa kwelii.Wapigwe South Africa