FT: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City

FT: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City

SA imeonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu katika hii game. Pia techinically ni kama ilizidiwa kila eneo na Mexico.

Poor perfomance kutoka SA kwa game ya kwanza.
 
SA kwa nini hawakumuita Rushine Deruck. Angefanya vizuri kuliko hizi takataka
Afadhali hawakumwita, hiyo ingetugawa. Acha wabaguzi hawa wakione! Wapigwe tu! Na imekuwa hivyo: Magoli mawili na red card mbili!! Maana yake OUT!! Mechi zao mbili zilizobaki nazo wapigwe tu na red card zingine wapate! Maana si kwa uharibifu huo!
 
Morocco na Senego wataingia robo na mmoja ataenda nusu
Sidhani, mimi naona kama mpira wa Afrika unazidi tu kushuka mwaka hadi mwaka na ukiangalia sasa hivi Afrika haina wale mastaa kama waliokuwepo enzi hizo kama akina: Roger Milla, Thomas Nkono, Theophile Abega, Emmanuel Kunde, Francois Omam Biyik, Andre Kana Biyik, Benjamin Massing (Cameroon); Lakhdar Belloumi, Noredeen Khourichi, Rabah Madjer (Algeria); Mohammed Timoumi, Badou Zaki (Morocco).

Stephen Okechukwu Keshi, Rashid Yekini, Austin Okocha, Kanu Nwankwo, Emmanuel Amunike, Daniel Amukachi (Nigeria).

Vipaji vimetoweka Afrika labda vitarejea huko mbele, kwa mantiki hiyo timu za Afrika sizipi nafasi yoyote katika mashindano haya na mpira waliocheza Afrika Kusini ni uthibitisho tosha yaani inadhihirisha wazi kabisa kwamba wanatoka kwenye ligi za mchangani.
 
Hao Afrika Kusini kwa hao wachezaji wanaochezea ligi yao ya mchangani wasitegemee kitu na tena wenyewe ndio watakuwa timu ya kwanza kabisa kuaga mashindano kabla ya mwisho wa mwezi.

Hata nidhamu ya mchezo hawana ni kucheza na rafu za kijinga jinga tu hali inayoonyesha jinsi wasivyo Professional ni Amateur watupu. Bure kabisa.
 
Nilitajaria matokeo ya SA kufungwa lakini pia sikutarahia kama Bafana Bafana hawatafunga hata goli moja. Nimeshangazwa sana jambo hili.
 
SA wamefikaje world cup, very poor performance,Kwa jinsi nilivyoona gemu ya Czech na Korea kaskazini,Sioni kama South wataambulia hata point moja,Shame on South Africa.
 
Back
Top Bottom