Vip mnyama Okwi kashafanya mambo mpaka taifa Stars wamejuta?Taifa stars
Pole yao haswaaa km nawaona walivonuna huko 🤣🤣🤣🤣🤣Poleni mashabiki uchwara wa Uganda, viva Taifa Stars!!
Mama la mama shikamoo😍Hope kocha keshajua wapi pa kurekebisha mchezo ujao.!!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Starz..!!
Wakufwe kabisa😅Pole yao haswaaa km nawaona walivonuna huko 🤣🤣🤣🤣🤣
Duh!Beki ya Yanga inaenda kupigwa tena na Vipers labda Manula awabebe.
Duh!Bora forward mabeki ndio pazia kabisa
Beki wa Yanga katoa assistBeki ya Yanga inaenda kupigwa tena na Vipers labda Manula awabebe.
Umeangalia mpira ukiwa Bar ama?Kuna watu walikua wanatuchelewesha, leo boli limetembea
Unataka offer ya bia?Umeangalia mpira ukiwa Bar ama?
Mpira ulitokea kwanza kwa MzamiruBeki wa Yanga katoa assist
Duh! kumbe una mihemko yako binafsi.Ndio, Uganda tumewazidi kila kitu, unataka nn zaidi?? Subiri timu yako ambayo utawapanga Zimbwe, Kibu, Kapombe na BOCCO ila kwa hii achana nayo.
Mpira umeisha au bado?Twende na Uganda (The Cranes)[emoji3581]
View attachment 2563936