Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kabisa sema kila kitu Tz ni siasa na upigaji.Mimi mwenyewe kwakweli, niko mbalimbali na taifa stars, kuna ile timu ya serengeti boys ilifanyaga vizuri sana wakati fulani wakaenda sijui mashindano gani huko, wangekiendeleza kile kikosi kama taifa stars nadhani tungefika fika mbali kidogo
Tungeanza tafuta vipaji, watoto toka shule za msingi. Tukawasomesha huku wako kwenye shule maalumu ya michezo.
Angalau tungepata kikosi, miaka ya baadaye tukajivunia nasisi, ila hivi huwa hatufiki mbali.