Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepigwa katereroTwende na Uganda (The Cranes)[emoji3581]
View attachment 2563936
Umeficha sura au bado? Nasikia ukitoka SA inafuatia UG ni kweli? LGWQT sijui nini hadi mmetunga sheriaTwende na Uganda (The Cranes)[emoji3581]
View attachment 2563936
Oyaaa vipi ubao unaosamaje hapo juu? Umezima data?Viva Uganda ushindi lazima
Timu sio kabila
KATAA UTUMWA
Bricken hamjamjibu bado lakiniUkizaliwa east Afrika jua ww ni mganda. Kataa ushoga, Uganda for everyone
Nini kimetokea sasa hapo?Taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu
Bado umekomaa hapo au umebadiri uelekeo?Taifa starz ni moja ya hasara kwa nchi hii
Soma ubao unamsomaje?Kikosi chetu cha ugandaView attachment 2563937
Hivi ni kweli wamejuta au unataka kufuta comments?Mnyama okwi ndani. Taifa stars watajutaaa
Ukijifanya mropokaji Bricken anakufuata ulipoTanzania ilisema lini inakubali ushoga?
Simba na yanga zimewaharibu sn wabongo.Linapokuja suala la kitaifa, tuweke Usimba na Uyanga pembeni.
Uzalendo kwanza.
O-1 kamoja kanauma hako yaan mpwitompwito hadi wanasema ungenipiga na cha piliwaganda watapigwa 3-1
Mimi mwenyewe kwakweli, niko mbalimbali na taifa stars, kuna ile timu ya serengeti boys ilifanyaga vizuri sana wakati fulani wakaenda sijui mashindano gani huko, wangekiendeleza kile kikosi kama taifa stars nadhani tungefika fika mbali kidogoNina bahati mbaya, siyo shabiki wa Taifa Stars...
Sijawahi ielewa kabisa. Tunahitaji kuanza chini kabisa, kukuza vipaji. Ili tuwe na team bora ya Taifa.
Anyway kila la kheri...
Sana, anaibeba sn timu ila ndo haimbwi sn. Na anajitoa kweli kweliMsuva anq historia ya kuibeba stars kuliko samatta
Duuuuh 😆 member shoga nani huyo? Hii mpya mbona sijamsikia akitangazwa?Uganda imeupinga ushoga hadharani Hadi hao bwana zenu mabeberu wamebaki kulialia,.
viva Uganda[emoji1254][emoji1254], halafu huoni hata I'd yangu Mimi ni nani? Sio watu wote humu ni watz, nyie endeleeni kutoa tuzo kwa mashoga kama jf walivotoa tuzo ya jf celebrity kwa member shoga
Wabongo hawana shukhrani hii timu ikitoboa shobo hazitoisha leo UG alieogopeka katobolewa tobo Ila watu wapi, nisijesema visivyofaa kusemaMimi mwenyewe kwakweli, niko mbalimbali na taifa stars, kuna ile timu ya serengeti boys ilifanyaga vizuri sana wakati fulani wakaenda sijui mashindano gani huko, wangekiendeleza kile kikosi kama taifa stars nadhani tungefika fika mbali kidogo
Hata mimi nilizisikia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mbona kelele nyingi vibandani, kuna nini?
Blinken hamjamjibu bado,Ushoga ni laana. Uganda imeonesha mfano, nasema mpigwee