FT: Uganda 0-1 Tanzania: Kufuzu Afcon 2023 group E

Nina bahati mbaya, siyo shabiki wa Taifa Stars...
Sijawahi ielewa kabisa. Tunahitaji kuanza chini kabisa, kukuza vipaji. Ili tuwe na team bora ya Taifa.
Anyway kila la kheri...
Mimi mwenyewe kwakweli, niko mbalimbali na taifa stars, kuna ile timu ya serengeti boys ilifanyaga vizuri sana wakati fulani wakaenda sijui mashindano gani huko, wangekiendeleza kile kikosi kama taifa stars nadhani tungefika fika mbali kidogo
 
Duuuuh 😆 member shoga nani huyo? Hii mpya mbona sijamsikia akitangazwa?
 
Mimi mwenyewe kwakweli, niko mbalimbali na taifa stars, kuna ile timu ya serengeti boys ilifanyaga vizuri sana wakati fulani wakaenda sijui mashindano gani huko, wangekiendeleza kile kikosi kama taifa stars nadhani tungefika fika mbali kidogo
Wabongo hawana shukhrani hii timu ikitoboa shobo hazitoisha leo UG alieogopeka katobolewa tobo Ila watu wapi, nisijesema visivyofaa kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…