[emoji23][emoji23][emoji23]Naangalia DStv upande wa kiswahili. Mtangazaji ni Jemedari.
Sasa mpira umeenda mapumziko kasahau kuzima mic anatukana wachezaji wa Yanga.
Eti "kumamake mabeki wote mbilikimo"
Kwahiyo Ndiyo Match Ya Sasa HiviHoroyaaaaaa 1 vs simba yaaaaaiiii
Wapi Fiesal Salim AbdalahToa Kisinda ingiza Musonda, Kibwana apumzike aingie Lomalisa.
"Faida ambayo yanga wanayo dhidi ya hii team, hivyo kiwasaidi kushinda ni:-
Kocha - Mtunisia
Daktari- Mtunisia
Wa viungo- Mtunisia"
Ila Yanga bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajitoa ufahamu wanadhani huko CAF ni kama ligi yetu....kwamba takwimu za kubumbaKwahiyo jana Simba Sc hakuongoza umiliki wa mpira?
[emoji23]
HahaaaaaaaKipindi cha pili Nabi mtoe Feisal muweke Azizi Ki ufanye super sub kama ulivyofanya kwa Club Africain
Mzee wa bwaksi upo kwa ile screen pale kwenye kale kagorofa ka njano au upo kibanda umiza ?Mimi binafsi nimekubali hii game tunaenda kupoteza japo lolote linaweza kutokea ndani ya Dak 90
Furushi la chawa [emoji23]Hii yanga au mzoga huu!?
yanga 2-1
Updates imeishia wapi?
[emoji460]️ US Monastir[emoji739]Young Africans SC
[emoji1001] 12 February 2023
[emoji935] 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
[emoji909] Uwanja wa Rades, Tunis
[emoji471] CAFCC
Kikosi cha Yanga
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku mnene tukifurahi ushindi
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo umeanza
2' Yanga wameanza kwa kasi, Kisinda anapata nafasi ya kukimbia na mpira
10' GOOOOOOOOOOOOOO Yanga wanafungwa goli la kwanza
Mohamed Saghraoui anawatanguliza wenyeji kwa bao la mapema
16' GOOOOOOOOOOOOOOO, Yanga wameruhusu magoli mawili ndani ya dakika 16
Boubacar Traore anafunga goli la pili kwa kichwa
30' Yanga wanaonesha utulivu na kumiliki mpira
35' Wenyeji ni hatari wanapokaribia lango, wanafanya mashambulizi makali
43' Yanga wanapata faulo karibu na lango la wapinzani, shuti linapigwa linapaa juu
MAPUMZIKO
Weka na morison hapoWapi Fiesal Salim Abdalah
Kwani Feisal mpira anacheza Peke yake mbona tulipigwa na Wasudan na yy akiwepo.Wapi Fiesal Salim Abdalah