OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Visit Kidimbwi ameshindwa kuchomoa kidude ikiwa full mkoko mbele ya timu daraja la kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana tuliwaweka pembeni kwenye Simba Super Cup,wangetia aibu sana.View attachment 1696195
Visit Kidimbwi ameshindwa kuchomoa kidude ikiwa full mkoko mbele ya timu daraja la kwanza
Nimequote ili usije ukafuta.Kwa Piston wamepigwa.
Alikata pumzi mapemaa.
Sasa hivi ni mwendo wa kujipigia tu kama changudoa vile.Hatimae mwiko umechomolewa huko nyuma..[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
mwanafyale Kamtafute fb au Twitter manara,ukampe mashtaka yako au fungua uzi uku, ni ASP 1-uto 0 ftManara nimekusikia ukipotosha mahusiano kati ya serikali na Yanga eti wewe umefuta historia ya mahusiano hayo halafu huna uhakika kama Nyerere alikuwa mwana Yanga nikuelemisha uliza kadi no moja pale ni ya nani pili Yanga kwa kushirikiana na TAA/TANU walishirikiana kuleta uhuru Sunderland ambayo viongozi wengi walikuwa wahindi na waarabu hawakutaka uhuru kwa sababu walikuwa matajiri ndio maana huwezi kutenganisha Yanga na Chama acha kujisifu kupindukia
Sawa, ila hamna kitu hapo.Nimequote ili usije ukafuta.