FT: Utopolo 0 - 1 African Sports, Mechi ya Kirafiki

Ukiona Kidimbwi anaongoza Ligi basi ujue Simba SC hajacheza..!

Mnyama ana alama 38 kwa michezo 16 huku Kidimbwi 44, kwa michezo 18, kwahivyo Simba akicheza na atashinda hizo game atafikisha 44 sawa na Kidi lakini Mnyama ataongoza Ligi kwa idadi kubwa ya magoli yakufunga

Kwahivyo ni kiasi cha muda tu [emoji1787][emoji1787]
 
Mnaharibu brand ya kidimbwi beach
 
Unaongoza subiri simba icheze mechi zake zote tuone kama unaongoza ligi
 
Kabisa mkuu,ukimkuta tembo juu ya mti ni lazima amepandishwa Apo.
 
Na mtafungwa sana washamba wakubwa nyie. Kidimbwi FC mnatia huruma.
 
Simba baada ya Azam kwenye ligi,atakutana na Yanga na akishinda zote ataongoza ligi kwa tofauti ya magoli na akiwa na mechi moja mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…