Mimi naona ibakie tu kwa ajili ya kumbukumbu.Mkuu, hii post yako ungeitoa tu!
Sema kambale sijaiona leo, au ilikuwa matopeni bado?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda nikuchachue hivi hivi, kuwa mpoleeee, ulininisumbua sana baada ya Semi final FA.Hii lugha hii! Dah!! Kwa sababu ni wewe, basi itanilazimu tu kugugumia.
Hujacheka kama mie😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehu.
Byuti byuti.
Kuna timu ambayo inafurahia mafanikio ya kufika robo fainali??Huoni kimataifa kila siku mnaumbuka bingwa hata msimu mmoja hamfanyi vizuri kimataifa shida ipo wapi kama kweli nyie mabingwa huko hakuna kuhonga marefa wala timu makelele kIbao timu kila siku kimataifa mnafungwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujacheka kama mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema Simba mafanikio yake kimataifa ni robo wakati Yanga mafanikio yake kimataifa kushiriki na kuondolewa preminary roundKuna timu ambayo inafurahia mafanikio ya kufika robo fainali??
hahahahaha,byvi byuti chali
Matatizo yaliaanzia hapaWananchi wako baridi sana huku mitandaoni, hivi si nyie ndio wenye shughuli hii leo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Asante studioSema Simba mafanikio yake kimataifa ni robo wakati Yanga mafanikio yake kimataifa kushiriki na kuondolewa preminary round
Kwa kikosi chenu icho kinachomtegemea mchezaji mmoja chama,, mtaumaliza mwendo mapema msipojiangalia, Vipers wanacheza kitimu zaidi awamtegemei mtu mmoja na wako vizuri kiufundi awabahatishiSimba tunyoosheeni hao Vipers maana sie Utopwinyo tuliwashindwa
Vipers wameyakanyaga, hii ni Simba sio Yanga wala Taifa stars iliyozoea kupapaswa na Uganda, hakika tutatumia nafasi hii kulipa machungu yote yatokanayo na Uganda kutuonea kisoka. Huyu ana point zetu 4 au 6 tunasubiri kuzichukuaKwa kikosi chenu icho kinachomtegemea mchezaji mmoja chama,, mtaumaliza mwendo mapema msipojiangalia, Vipers wanacheza kitimu zaidi awamtegemei mtu mmoja na wako vizuri kiufundi awabahatishi
Waulize Tp Mazembe waliyakanyagaSimba tunyoosheeni hao Vipers maana sie Utopwinyo tuliwashindwa