FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Hii lugha hii! Dah!! Kwa sababu ni wewe, basi itanilazimu tu kugugumia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napenda nikuchachue hivi hivi, kuwa mpoleeee, ulininisumbua sana baada ya Semi final FA.

Hapa ni kuwahiana tyuuh.
 
Huoni kimataifa kila siku mnaumbuka bingwa hata msimu mmoja hamfanyi vizuri kimataifa shida ipo wapi kama kweli nyie mabingwa huko hakuna kuhonga marefa wala timu makelele kIbao timu kila siku kimataifa mnafungwa
Kuna timu ambayo inafurahia mafanikio ya kufika robo fainali??
 
Simba tunyoosheeni hao Vipers maana sie Utopwinyo tuliwashindwa
Kwa kikosi chenu icho kinachomtegemea mchezaji mmoja chama,, mtaumaliza mwendo mapema msipojiangalia, Vipers wanacheza kitimu zaidi awamtegemei mtu mmoja na wako vizuri kiufundi awabahatishi
 
Kwa kikosi chenu icho kinachomtegemea mchezaji mmoja chama,, mtaumaliza mwendo mapema msipojiangalia, Vipers wanacheza kitimu zaidi awamtegemei mtu mmoja na wako vizuri kiufundi awabahatishi
Vipers wameyakanyaga, hii ni Simba sio Yanga wala Taifa stars iliyozoea kupapaswa na Uganda, hakika tutatumia nafasi hii kulipa machungu yote yatokanayo na Uganda kutuonea kisoka. Huyu ana point zetu 4 au 6 tunasubiri kuzichukua
 
Back
Top Bottom