Lile lilikuwa jasho la damu maana mlikoswa koswa sanaHahahaaaa. Kutoka jasho Uwanjani ni kawaida mtani. [emoji12] [emoji12] .
Ila Watani zangu mpo wengi lol.
Ruvu wamefanikiwa ila naona angeingia Gyan sio mavugo43 ' Okwi anakwenda kwenye benchi na nafasi yake anachukua Laudit Mavugo
Hivi hii ndo simba inayoshinda kila game...
Kuna mpira gani hapa...
Kwa bahati nzuri nimejikuta natizama mpira leo..
Bure kabisa
Kwan Wanadaiana?
Simba motoooooooooopMashabiki nao wako [emoji91][emoji91][emoji91]
Mambo Ni hivi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3][emoji3]Simba motoooooooooop