FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Kadi nyekundu kwa Mau Bofu. Baada kumgonga kwa kiwiko Okwi baada ya kuonyeshwa kadi ya njano ya kwanza
 
43 ' Okwi anakwenda kwenye benchi na nafasi yake anachukua Laudit Mavugo
 
Wakati wowote mpira utakuwa mapumziko.. Naam mpira ni mapumziko hapa uwanja wa Uhuru Dar es salaam. Ambapo Simba wanakwenda wakiwa mbele ya goli moja dhidi ya Ruvu Shooting

Ruvu Shooting 0-1 Simba Sports Club
 
Hahahaaaa. Kutoka jasho Uwanjani ni kawaida mtani. [emoji12] [emoji12] .

Ila Watani zangu mpo wengi lol.
Lile lilikuwa jasho la damu maana mlikoswa koswa sana
Siku ile ruvu waliwalaza na nguo kabisa
 
Hivi hii ndo simba inayoshinda kila game...

Kuna mpira gani hapa...

Kwa bahati nzuri nimejikuta natizama mpira leo..

Bure kabisa


Unaonaje Kuacha kutazama Mpira na ukaenda Kucheza Udako?
 
[emoji3] watakuja na plan ya kumuumiza Bocco kipindi Cha pili
 
Kipindi cha pili uwanja wa Uhuru kimeanza
 
46 ' Mwinyi Kazimoto anaingia, Ndemla anakwenda kwenye benchi
 
Ruvu wanafanya mabadiliko anaingia Yusuph Nyuga. Issa Kanduru anakwenda kwenye benchi
 
Go goooal laa goal kick.. Bocco alifanya jaribio hapa
 
Ruvu wanacheza zaidi nyuma. Wakiongozwa zaidi Makwaya Damas
 
Back
Top Bottom