FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Huyu ni under 20 ila analazimishwa tu kucheza ligi kuu

Bocco atasumbua mno VPL
Hahahaaaa!
Jamaa ana nidhamu sana na michezo ndio maana. Azam muda wote kacheza ila hakupata heshima anayostahili. Historia itamkumbuka zaidi muda akiwa Zimbah!
 
Bocco naona sasa spidi iko full.
Kwa strikers wa kibongo(ndani ya miaka 10 ya karibuni), hakuna kama Bocco.
Hata wakati yupo Azam, sikutaraji watakuja kuipoteza silaha ile.Kuna madogo job walikuwa wanambeza,nikawaambia hamjui mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…