Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Nilikuwa busy kidogo hivyo nikawa naingia humu na kutoka.Ushindi ni jadi yetu.. Umekuja mara chache mno kwenye jukwaa.
Au ulijua matokeo mkuu emmyta
Ɗata ɓila shaka uta umedataHivi hii ndo simba inayoshinda kila game...
Kuna mpira gani hapa...
Kwa bahati nzuri nimejikuta natizama mpira leo..
Bure kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3]Ushindi ni jadi yetu.. Umekuja mara chache mno kwenye jukwaa.
Au ulijua matokeo mkuu emmyta
Santeeee Dada akeeHahaaaa. Haya dada.
Hongera.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwema mkuu,, naona simba mambo ni motoo,, hongereni sanaMkuu vipi kwema? 😀 😀 😀
Na Malinzi na marefa wana vikombe vyao humo upande wa Yanga.
Hahahaaaa!Huyu ni under 20 ila analazimishwa tu kucheza ligi kuu
Bocco atasumbua mno VPL
Kwa strikers wa kibongo(ndani ya miaka 10 ya karibuni), hakuna kama Bocco.Bocco naona sasa spidi iko full.
Wazee wa tia maji tia maji.Haa Haa. Hii kali, bila figisu hakuna ushindi Gongowazi
Salama NessLeo zamu ya simba kukalia sindano
Utakuja kufa kwa mauno the ya kijingaMikia leo wapigwe,mjini tuheshimiane