FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Mau Bofu anakwenda kwake Maganga. Lakini Asante Kwasiiiiii anatokea kuharibu plan
 
Kapombe anakwendaaaa. La Issa Kanduru anamchezea rafu na kuonyeshwa kadi ya njano
 
31' faulo Inapigwa kuelekea lango la Simba SC
 
Inapigwaaaa. Inaokolewa, dakika 10 kuelekea mapumziko
 
Issaaa anakwenda. Lakini anakwatuliwa hapa karibu na lango la Simba SC
 
42' George amaaaa. Lakini Kapombe anatokea kuharibu plan
 
Ndemla anakwenda anapiga shuti gooal nje
 
Okwiiiii, Damas Makwaya anaokoa.
 
45'

+3' za nyongeza kuelekea mapumziko
 
Okwi yuko chini anapatiwa matibabu baada ya kupigwa na Mau Bofu
 
Back
Top Bottom