FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

90 '

+3 za nyongeza kabla ya mpira kwisha

Ruvu Shooting 0-3 Simba SC
 
  • Thanks
Reactions: wel
Adam Ibrahim anapewa kadi nyekundu. Baada kuonyesha kadi ya njano ya mwanzo
 
Naam mpira umekwishaaaaaaaa

Kutoka uwanja wa Uhuru Dar es salaam mpira umekwisha ambapo Simba SC imeibuka na ushindi wa goli tatu bila majibu dhidi ya Ruvu Shooting.

Ruvu Shooting 0-3 Simba Sports Club

Asanteni sana... Ghazwat
 
Simba ile "dozi" naona inarudi taratiiibu! Kandambili zitajibeba mwaka huu.😀😀😀
 
Back
Top Bottom