Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa asilimia 100% bila majeruhi kwa ligi kuu VPL, hakuna mfano. Hata akiwa Azam FCHahahaaaa!
Jamaa ana nidhamu sana na michezo ndio maana. Azam muda wote kacheza ila hakupata heshima anayostahili. Historia itamkumbuka zaidi muda akiwa Zimbah!
Asee hiyo fire nmeisoma kwa kiswahili nipata sentensi ya ajabu sana.Simba ni fire
Na umeona kiwango!?? Kweli kabisa...Ɗata ɓila shaka uta umedata
Nimeona goli la kwqnza alichokuwa anafanyiwa kabla ya kufungaHahahaaaa!
Jamaa ana nidhamu sana na michezo ndio maana. Azam muda wote kacheza ila hakupata heshima anayostahili. Historia itamkumbuka zaidi muda akiwa Zimbah!