FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Simba imeshakua kawaida.. Habari ya ushindi sio habari
 
Hahahaaaa!
Jamaa ana nidhamu sana na michezo ndio maana. Azam muda wote kacheza ila hakupata heshima anayostahili. Historia itamkumbuka zaidi muda akiwa Zimbah!
Akiwa asilimia 100% bila majeruhi kwa ligi kuu VPL, hakuna mfano. Hata akiwa Azam FC
 
Thimba sasa hizi ni sifwaa aisee,
Mara 4G, 3G bado Edge E*
 
Back
Top Bottom