FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Oya Wana Simba wenzangu, tukubali tukatae...


Simba ya Sasa ni poyoyo!!.


Hivi Ile Simba ilomchapa Mamelod Kwa mkapa, ingekua ndio ya Leo hapa, huyu Mwarabu alivyotepeta, siangeshakula goli mbili za chap?.
 
Tuiombee SIMBA....kwa Dini zote na Jadi pia.....huko Sumbawanga na Gamboshi
 
Kibu ameaminiwa si na makocha waliopita tu ila hata huyu wa sasa na kocha wa timu ya taifa humwita kwanini?
 
Dakika 45 kapombe amekukua uchochoro onana aongeze ubunifu aupungunze papara tuombe inonga arudi uwanjani tofauti na hapo Hali itakua tete
 
Huko Kundi La Yanga Kuna Waarabu Wawili...Hangaikeni nao hao wanawatosha..!

Huku CL hakuna Waarabu Koko...!
Sijui Monestre, sijui Africain...huku ndo Waarabu Wenyewe Sasa...!

Msirudie Kuwavalia msuli...
waydad mwarabu ama kituko kila mmoja kamtwanga isipokuwa nyau tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…