Munkari wa mpira unawafanya watu mnakosa kabisa uvumilivu wa kuchagua maneno ya kukomentAcha upumbavu wewe... Tujifunze mavi
Wachezaji wenu wapumbavuMunkari wa mpira unawafanya watu mnakosa kabisa uvumilivu wa kuchagua maneno ya kukoment
Mmebadilisha wimbo...πππVibonde wame kutana .wote wana tafutana papatu papatu
Wanafunzi wa tuisheni ndiyo wametabiri hivyo?Mikia inakufa dakika za lala salama
Mpaka wathemeeeee [emoji23][emoji23][emoji23]Mmegeuza wimbo...[emoji23][emoji23][emoji23]..
Bado hamjasema.....
Simba kawafunga midomo leo....πππTatizo wydad wameanza kupanik, wanaona mikia imewakazia
Mlishasema tunakula 5Mikia leo inajifanya imekaza πππ safi sana watani
Afisa elimu ndo ametabiri ππWanafunzi wa tuisheni ndiyo wametabiri hivyo?
Majirani leo mnateseka sanaSimba wameshaanza kutepeta ni suala la mda tu mpira kuingia golin kwao
Sasa umeanza kusemaDraw ni mbaya kwa wydad
Vibonde wame kutana .wote wana tafutana papatu papatu