FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Uko sahihi kaka,Timu za huko Afrika magharibi zimejifia ikiwemo Medeama,
Hivi Kweli Medeama ni wa kushindwa kufungwa na Yanga kweli??? Kweli siamini!
Bora hata mechi ya medeama na yanga watu waliinuka vitini kushangilia mabao lakini hii gemu ya Leo kama tunacheki xxxxxxxxxxx
 
Wydad na Simba akuna timu watakazozifunga kwenye lile group lamda wafungane wenyewe Hawa ndio vibonde wa group
Team inayoingia makundi baada ya miaka 25 kwa namna yoyote ile ni lazima iwe underdog tu.

Kwenye hii michuano, underdogs ni Yanga Sc, Madeama na ile team ngeni kwenye kundi alilopo Mazembe na Mamelod, hao wote ni kenge kwenye msafala wa mamba.
 
Back
Top Bottom