Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Bora hata mechi ya medeama na yanga watu waliinuka vitini kushangilia mabao lakini hii gemu ya Leo kama tunacheki xxxxxxxxxxxUko sahihi kaka,Timu za huko Afrika magharibi zimejifia ikiwemo Medeama,
Hivi Kweli Medeama ni wa kushindwa kufungwa na Yanga kweli??? Kweli siamini!