Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Bora hata mechi ya medeama na yanga watu waliinuka vitini kushangilia mabao lakini hii gemu ya Leo kama tunacheki xxxxxxxxxxxUko sahihi kaka,Timu za huko Afrika magharibi zimejifia ikiwemo Medeama,
Hivi Kweli Medeama ni wa kushindwa kufungwa na Yanga kweli??? Kweli siamini!
๐ธDunduka kaungua๐๐
Team inayoingia makundi baada ya miaka 25 kwa namna yoyote ile ni lazima iwe underdog tu.Wydad na Simba akuna timu watakazozifunga kwenye lile group lamda wafungane wenyewe Hawa ndio vibonde wa group
N
Baleke ni Garasa
Yamekua hayo tena ?Wydad na Simba akuna timu watakazozifunga kwenye lile group lamda wafungane wenyewe Hawa ndio vibonde wa group
Yani wanateseka kuliko Wydad wenyewe [emoji23][emoji23]Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka sasa hawaamini wanachokiona.
Mechi ya wachovu wawili inaendelea.Lwaazima mmoja achomeshes
Sasa SI waona mwenyeweYamekua hayo tena ?
Amini nakwambia kuna mtu anakufa hapaHii mechi unaenda draw
Mwalimu tulia sikiliza utabiri wa afisa elimu kwanza [emoji23][emoji23]Kapombe baada ya kisikia anatemwa anajifanya kukaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
Kwani kwenye kundi lenu hamchezi muwe mnawafunga hizo 3? Au mlivyofungwa tatu mnaona kwenu ni ushindi ugenini? Utopolo hamnazo.Hii mechi Yanga angeshamtandika chuma 3 Wydad mpaka saa hizi.
Na asipokufa utasemaje? Au ndiyo utaukimbia uzi mazima.Amini nakwambia kuna mtu anakufa hapa
Ni kweli kabisa sababu hawa ndio wanaburuza mkia.Mechi ya wachovu wawili inaendelea.